Bunduki zilizo teketezwa katika kampeni hiyo ni za kutoka maeneo mbalimbali nchini ambazo zilisagwa na vyuma vyake vinatalajiwa kujengwa kumbukumbu katika mji wa Santo Domingo.Waziri wa sheria nchini humo Francisco Dominguez ameuelezea utamaduni wa watu kumiliki silaha kuwa ni janga katika usalama wa nchi hiyo.
Polisi wanasema asilimia 70 ya uhalifu huo unaofanyika nchini humo kila mwaka utekelezwa kwa kutumia silaha hizo.Nchi hiyo inakadiliwa kuwa na silaha laki mbili kati ya raia milioni 10.

0 maoni:
Post a Comment