watanzania wanatakiwa kuendelea kueshimu hadhi na mamlaka alinayo rais wa Jamuhuri ya muhungano wa Tanzania Jakaya kikwete Kwa kusamini na kuzingatia mwongozo na ushauri mbalimbali anaoutoa kwa wananchi kwani mamlaka hayo yanatoka kwa Mungu.
Askofu mstaafu wa kanisa katoriki Jimbo la Dodoma muhashamu Mathias Isuja amesema hayo juzi katika mahubiri yake maalumu kwaajili ya kuchangia ujenzi wa kanisa la kiaskofu Jimbo la kondoa.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment