Katika siku za nyuma kirusi cha Ebola kilisambaa katika nchi za Guinea ,Sierra Leone ,liberia kiliripotiwa kuwa asilimia 90 ya wote walioambukizwa
mlipuko wa Ebola uko Afrika ya Magharibi umesababisha vifo vya watu 670 na kuambukiza wengine 1,200 lakini mtaalamu wa idala ya Marekani ya kuzuia na kudhibiti magonjwa anasema wengine wengi wataambukizwa katika wiki na miezi ijayo.
Idara iyo ya Marekani ya kuzuia na kudhibiti magonjwa CDC inapuuzia wasiwasi wa uwezekano wa maambukizo wa kirusi cha Ebola kwa sababu ya namna ya Hospitali za Marekani zinavyo weza kufanya kazi kuzuia maambukizo.
CDC inasema kwa sasa kirusi icho kimeambukiza asilimia 60 ya watu,idadi ambayo wataalamu wanasema inaonyesha matibabu yanafanya kazi.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


0 maoni:
Post a Comment