WAISLAM DUNIANI WASHEREKEA EID EL FITR.

Mamilioni ya waislam Duniani wanasherekea Eid El Fitr wakiadhmisha kumarizika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani 


Lakini wakiti watu wengi wakikusanyika kwa sla na kushiliki katika sherehe jumatatu katika nchi kama Indonesia na Misri sherehe ni ya ukimya na huzuni kwa maeneo kama ukanda wa Gaza na malaysia.

Mamia ya wanao abudu katika msikiti wa taifa huko kuala Lumpur waliofanya maombi kwa ajili ya waathirika wa ndege za malaysia moja iliyo angushwa huko mashariki mwa Ukraine na nyingine iliyopotea ikiwa safarini kuelekea Beijing mwezi machi.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment