KUHUSU SIMU YA AJABU ALIYOPOKEA TUNDA MAN JULY 28.

Kuna kipindi stori za namba ambazo wengi walikuwa wakisema za ajabu na endapo zikikupigia usipokee zilikuwa zikitawala sana kwenye mitandao ya kijamii na wengi pia walikuwa wakizionyesha namba hizo Tunda Man ni mwingoni mwa watu wanao unda kundi la TIP TOP Connection July 28 amepata simu hiyo ambayo amedai kwake ilikuwa ni mara ya kwanza kupigiwa kwani namba hizi ajawai kuziona zikimpigia kabla.

Tunda Man ameongea na Jichopembuzi na kusema "nilikuwa na futuru jana jioni wakati naendelea kufuturu na kapigiwa simu na namba sikuwa na zijua kwani zilikuwa za maajabu tu,sikupokea ilipiga mara 30 hivi"

"Baadaye nikapokea na kisha nikaweka mbali kidogo na mimi wakati nasema hallow ghafla kitu kama shoti ya umeme kikaanza kutembea kwenye viganja mpaka kwenye mkono nikakosa nguvu kabisa nikawaambia jamani nipelekeni Hospitali

'tukaenda hospitali ya serikali hapo palestina Dokta akasema huu ugonjwa tangu ameanza kutibia watu ajakutana nao ni mara yake ya kwanza kwaiyo matibabu aliokuwa akinipatia ni kama mtu aliye pooza ghafla



Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment