DANADANA YA RATIBA YAVURUGA MIPANGO KAMBAMBE YA MBEYA CITY FC.

DHAHIRI Mbeya city Fc imealibiwa mpango wake wa kucheza mechi za kirafiki katika nchi za Zambia na Malawi kuatia shirikisho la soka Tanzania, TFF, kupiga teke latba ya ligi kuu mpaka septemba 20 mwaka huu.

Kocha mkuu wa klabu hiyo Juma Mwambusi anakili wazi kuwa kusogezwa mbele kumeathili mipango mingi ya maandalizi ikiwepo kucheza mechi za kirafiki nchi za jirani.

Awali Mwambusi alikuwa nampango wa kucheza mechi mbili nchini Zambia ,halafu baadaye mbili malawi,lakini sasa imekuwa ngumu ata wapinzani wao katika nchi hizo watakuwa na Ratiba nyingine

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment