Jeshi la Israel limesema kuwa linaendeleza mashambulizi yake katika eneo la Gaza
Hatua hiyo inajili baada ya wapiganaji wa kipalestina Hamas kurusha takribani makombora 20 nchini Israel licha ya makubaliano ya kusitisha vita kuongezwa kwa masaa mengine 12 kufuatia ombi la umoja wa mataifa
Kundi la Hamas limesema kuwa alitasita kutekeleza mashambulizi hadi wanajeshi wa Israel watakapo ondoka maeneo ya Palestina.
Mwanajeshi mmoja wa Israel inadaiwa kauawa na shambulizi la roketi usiku kucha.
Siku ya jumamosi raia wengi wa Gaza walitumia fursa ya kusitishwa kwa vita hivyo kutembelea maeneo mengi yalio alibiwa karibu na mpaka wa Israel huku miili ya wapalestina walio uawa ikiendelea kufukuliwa kutoka kwenye vifusi vya majengo yalio alibiwa.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment