kwenye maujiano Rasmi na gazeti la michezo la huko Spain MARCA kiungo wa Arsenal Santi Cazorla amesema wao inabidi wawaige Atletico Madrid ilikutwaa ubingwa England kwa mara ya kwanza tangu msimu wa mwaka 2003/04
Cazorla ambaye ni mchezaji kutoka Spain amesema ninamatumaini makubwa kwa kuwasaini Alex Sanchez na mathieu Debuchy klabu imeonyesha nia yake kujenga timu ilikutwaa ubingwa.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment