Meneja wa Chelsea Jose Mourinho ameanza kumchimba mkwala Bosi wake wa zamani Louis Van Gaal kwa kuipiga vijembe man utd na kudai mchezaji mpya wa Man Utd Luke shaw ni "bei ghali" na angeivuruga Chelsea
Mourinho alikuwa anataka kumchukuwa beki huyo mwenye miaka 19 lakini mchezaji huyo akaichagua man Utd ambao walimnunua kwa paundi milioni 27 kutoka Southampton na kumpaa mshaara wa paundi laki moja
Lakini Mourinho amedai, "kama tukimlipa kijana mwenye umri wa miaka 19 fedha ya namna ile tutavunja utulivu wetu na kuleta mzozo,wachezaji wengine wangekuja na kuuliza kwanini huyu analipwa hivi na wakati mimi nimecheza mechi 200 na kuleta mataji Mourinho aliongeza kuwa klabu zingine zikilipa hivyo shauri yao.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment