Liverpool wamethibitisha kuwa staa wao waliomsaini hivi karibuni Adamu lallana ataukosa mwanzo wa msimu baada ya kuumia mazoezini jana
Lallana mwenye umri wa miaka 26,alisainiwa kwa paundi milioni 26 mwanzoni mwa mwezi huu kutoka southampton kwa dau la pauni milioni 26
Lallana aliumia mazoezini huko Boston,Marekani ambako Liverpool wamepiga kambi ya mazoezi na wanatarajia kucheza mechi kazaa za mashindano ya Guinness International Champions Cup nchini Marekani.
Mbali ya kusema mchezaji huyo haitaji upasuaji Liverpool awakusema kama atakuwa nje kwa muda gani lakini inaaminika atakuwa nje si chini ya wiki 6
hivyo Lallana inaaminika atakosa ufunguzi wa ligi kuu ya Egland ambapo Liverpool wataanza nyumbani kwa kucheza na klabu ya zamani ya mchezaji huyo Southmpton.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment