Arsena ,Man Utd ,Chelsea klabu tatu za Egland zipo kwenye kinyang'anyiro cha kuwasajili wachezaji 3 wa Real Madrid ,Benzima anaitajika na Arsenal baada ya usaji wa Baloteli kushindikana Khedira anaitajika na klabu mbili Chelsea na Arsenal wakati Man Utd ina muitaji Di Maria .Khedira amesha kubalika kuhama Real Madrid na klabu ikotayari kumuuza kutokana na kumsajili Kroos,lakini usajili wake unaonekana kuwa mgumu kutokana na dau kubwa la paundi milioni 20 ambalo Real madrid inalitaja mbali ya ada kubwa mshahara wake wa paundi laki 150,000 anaopokea kwa sasa imekuwa kikwazo kwa klabu ya Arsenal ambayo mishahara yake ipo chini lakini mazungumzo bado yanaendelea na lolote linaweza kutokea.
Dailysport limehabarisha kuwa golikipa wa Real Madrid Ikel Casillas ameendelea kushinikiza klabu yake kumuuza kwa Arsenal kwani awezi kuendelea kukaa benchi baada vya kupata ushindani mkali kutoka kwa Diego Lopez Casillas alishawajulisha viongozi nia ya kutaka kuhama lakini uongozi wa madrid umegoma kumuuza
0 maoni:
Post a Comment