Gazeti la Marca linaeleza kuwa klabu ya Liverpool ipo kwenye hatua za mwisho kumsajili mshambuliaji wa Lille,Divock Orig .Origi ni raia wa Ubelgiji na alionyesha kiwango kizuri kwenye michuano ya kombe la Dunia.Liverpool tayali imetuma ofa ya paundi milioni 10 kwa klabu ya Lille na mazungumzo bado yanaendelea
Dailymail limelipoti kuwa klabu ya man utd inamategemeo makubwa ya kumsajili winga wa Real Madrid ,Angel Di Maria dhidi ya PSG ambao wakuwa wapinzani kwenye usajili wa mchezaji huyo Man Utd inaamini kuwa Di maria atapenda kujiunga nao ikiwa ni klabu kubwa yenye mafanikio kuliko PSG Laurent Blanc amekiri kuwa usajili wa Di Maria bado auja kamilika,kauliinayo ipa nguvu zaidi Man Utd.
Dailymail linaripoti kuwa jitihada za klabu ya Arsenal za kumsajili Malio baloteli zimefika ukingoni taarifa hizi zinasema Baloteli ataweza kuhama baada ya klabu za Arsenal na Ac milan kushindwa kufikiana makubaliano kauli ya Rais wa Millan Adriano Galliani aliyo itoa hivi karibuni kwa kusema usajili wa Mario kwenda Arsenal umefia kwenye maji ilikuwa ni uthibitisho tosha kuwa Arsenal imesha mkosa Balotelli.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment