Muimbaji marufu nchini wa nyimbo za injili nchini,Bahati Bukuku (40) amepata ajali akiwa katika Gari alilokuwa akisafiria kuacha njia na kugonga gema,baada ya kugongwa na gari lingine linalosemekana kuwa ni fuso
kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa maafisa polisi zinasema watu wengine walio jeruhiwa kwenye ajali hiyo mbali na Bahati Bukuku ni watu wawili na gari lililopata ajali na kusababisha majeraha
kwa watu hao ni Toyota Nadia yenye namba za usajili IT 7945
Kamanda wa polisi mkoa wa dodoma kamishna mwandamizi wa polisi David misime ajali hiyo imetokea july 25 saa 9:00 Alfajili katika barabara ya morogoro -Dodoma eneo la Ranch ya NARCO wilayani kongwa.
Uchunguzi wa ajali hiyo unaendelea ikiwa pamoja na kutafuta gari lililowagonga.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment