KIJIJI CHA FUNIKWA NA MAPOROMOKO INDIA.

Zaidi ya watu 200 wanaofiwa kukwama katika maporomoko ya udongo nchini India.huku 20 wakithibitishwa kufariki Dunia katika kijiji cha Milin karibu na mji wa Pune lilikotokea janga hilo

kazi ya uwokoaji inaendelea katika eneo hilo huku hali ya hewa mbaya ikidaiwa kucheleweshwa harakati hizo.

Vikosi vya uwokoaji vinaendelea na kazi ya kuwanusuru watu waliofukiwa na maporomoko ya udongo japokuwa mazingira magumu na hali mbaya ya hewa vinakwamisha shughuli hizo.

Maporomoko ya Ardhi ni ya kawaida kutokea katika nchi hiyo ya India hasa kipindi cha mvua kitokanazo na monsoon.



Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment