Waendeshaji kampeni za mojawapo wa wagombea urais nchini Afghanistan Abdullh Abdullh wamesusia uchaguzi wa kura leo wakisema matakwa yao ya kusitisha udanganyifu hayajatimizwa .
ukaguzi kamili wa kura hizo zilizopigwa kumtafuta ataye mrithi rais Hamid Karzai umekuwa ukiendelea kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa
Umoja wa mataifa unajitayarisha kuimalisha hatua za kuzuia udanganyifu kwa kutuma waangalizi zaidi kuakikisha kwamba shughuli ya kuhesabu tena kura hizo unakamilika
Maafisa wa nchini Afghanistan chini ya usimamizi wa umoja wa mataifa wanaendelea na shughuli ya kuchosha ya kuhesabu upya kura kuhakikisha kuwa kuna usawa katika uchaguzi huo.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment