Mwenge huo uliwasili wilayani
Rombo, katika kijiji cha Holili ukitokea wilayani Mwanga.
Mkuu wa wilaya ya Mwanga Shaibu
Ndemanga alimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Rombo Anael Pallangyo mwengu huo ambao
Agosti 20 ulitua katika wilaya ya Siha baada ya kukesha usiku mzima kijijini
Rong’ai.
0 maoni:
Post a Comment