Sean Kingston amefunguliwa mashitaka na sonara kwa madai kuwa mwimbaji huyo amekuwa akimpiga danadana kuhusu malipo ya vidani na mikufu aliyo mkopesha kati ya mwaka 2008 hadi 2013
Sonara huyo aliye tajwa kwa jina la Avi Da Jeweler ameeleza kuwa alimkopesha Sean Kingston pete yenye Thamani ya $ 16,000 hili atoke nayo kwenye kipindi cha 106 park lakini mwimbaji huyo akulejesha kama walivyo kubaliana
Avi ameeleza kuwa katika kipindi cha miaka kadhaa muimbaji huyo amemuandikia checks takribani saba lakini zote zilikataliwa
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment