Basi la Jumanne lililokuwa linatoka Sirari kwenda Mwanza limegongana uso kwa
uso na basi la Mwanza coach lililokuwa linatoka Mwanza kwenda Musoma.
Ajali imetokea katika eneo la daraja la sabasaba, Musoma. Father Kidevu Blog itawajuza zaidi kuhusiana na tukio hilo.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment