Mapema leo Asubuhi china imerusha satilaiti moja iliyo bebwa na roketi ya Changzheng No 2 satilaiti hiyo inayopewa jina la Chuangxin No 4 imeingia kwenye njia iliyo pangwa na kazi yake ni kukusanya na kutuma data zinazo husu mambo ya maji hali ya hewa ,umeme na kushughulikia maafa katika vituo mbalimbali vya usimamizi vilivyo katika anga za juu.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment