Bodi ya kidini ya misri ,imetoa fatwa kukataza uoneshaji wa kipindi kilichoanzishwa kwenye televisheni nchini humo kuonyesha dance ya jadi ya wanawake wa misri ya kunengua viuno almaarufu "belly Dance"
Ngoma hiyo inayo fanana na chakacha ya waswahili imechezwa tangu zama za kale na imenakiliwa tangu enzi za ma-pharoah katika nchi hiyo ya misri.
Maelfu ya watu ambao ni watalii wanao itembelea misri,upenda kwenda kuiona inavyo chezwa lakini mnamo siku za hivi karibuni wasaichana kutoka sehemu nyingi duniani hasa ulaya na ata uchina wameripotiwa kwenda misri kujifunza jinsi ya kucheza dansi hiyo.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment