CRDB KUJENGA TAWI LA KISASA KATIKA KIWANDA CHA DANGOTE HUKO MTWARA

Ndege ya Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group of Industries, Alhaji Aliko Dangote ikiwasili katika uwanja wa Mtwara.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei (wa pili kushoto), akiwa na balozi wa Nigeria, Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Mtwara, Francis Kasoyaga (wa pili kulia) wakiwa uwanja wa Ndege wa Mtwara wakati wakimsubiri kumpokea Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group of Industries, Alhaji Aliko Dangote.

Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group of Industries, Alhaji Aliko Dangote akishuka katika Ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Mtwara.
Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group of Industries, Alhaji Aliko Dangote akisalimiana na balozi wa Nigeria.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB akisalimiana na Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group of Industries, Alhaji Aliko Dangote.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment