Jimbo la Makunduchi Mabingwa wa Kombe la Majimbo 2014.


Makamu Mweenyekiti wa ZFA Zanzibar Alhaj Ameir, akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Timu za Majimbo Nahodha wa timu ya Jimbo la Makunduchi Mustaffa Abdalla akikabidhiwa kombe hilo baada timu yake kushinda mchezo wa fainali na timu yac Jimbo la Mfenesini kwa kuifunga mabaoo 3--0, mchezo uliofanyika uwanja wa amaan.
Makamu Mweenyekiti wa ZFA Zanzibar Alhaj Ameir akisalimiana na wachezaji wa timu ya jimbo la makunduchi.
Makamu Mweenyekiti wa ZFA Zanzibar Alhaj Ameir, akimkabidhi mipira mshindi wa pili wa kombe la makimbo nahodha wa timu ya mfenesini wamekabidhiwa mipira mitatu nafedha shilingi laki tatu.
     Viongozi wa timu ya jimbo la mfenesini wakiwa na mshangao baada ya timu yake kufungwa na timu ya jimbo la makunduchi 3--0. mchezo uliofanyika uwanja wa amaan.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment