Kurejea kwa Nicolas Sarkozy kwenye ukumbi wa siasa nchini Ufaransa huenda ikapelekea kujizatiti upya kwa chama cha kisoshalisti ambacho kimeonekana kupoteza kwa asilimia kubwa imani kwa wananchi.
Wajumbe wengi kutoka chama cha kisoshalisti hawafichi tangu wiki iliyopita msimamo wao baada ya kutangazwa kwa Nicola Sarkozy kwenye ukumbi wa siasa ni miaka miwili sasa tupo pekee madarakani kwahiyo tunasubili jipya analolileta katika siasa za Ufaransa wamesema wajumbe hao wa chama cha kisoshalisti.
kwa upande wake serikali ya Ufarans,Hasa ikulu ya Paris imesema kwamba kurejea kwamba kwa Nicolas Sarkozy kwenye ukumbi wa siasa kutachangia kuhamasisha mijadara tofauti na ilivyo kuwa awali.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment