UHURU KENYATTA ATAKIWA MAHAKAMANI ICC 8,OCTOBA

Mahakama ya kimataifa ya uhalifu (ICC)imemtaka Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kufika mahakamani tarehe 8 mwezi Oktoba licha ya majaji wanaotalajiwa kusikiliza kesi dhidi yake kuiahirisha.

Majaji katika mahakama hiyo wanataka kumuoji juu ya madai kwamba serikali yake imeficha hati hiliyo ombwa na waendesha mashitaka wanao sikiliza kesi yake ya uhalifu dhidi ya ubinadamu.

Kesi hiyo imekuwa ikicheleweshwa mara kadhaa sasa.Hata hivyo Rais Kenyatta amekanusha kuandaa mauwaji ya kikabila baada ya uchaguzi mwaka 2007.

Takribani watu elfu moja mia mbili waliuawa na laki sita kukimbia makazi yao.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment