"Ndio"Au "Hapana" kwa uhuru wa scotland .Jibu linasubiliwa ijumaa wiki hii Septemba.Vituo vya kupigia kura vimefunguliwa tangu saa kumi na mbili asubuhi alhamisi wiki hii saa za kimataifa
Maelfu kwa mamia ya wapiga kura wametakiwa kupiga kura,na wengi wao awajajua watakuwa upande gani wa kupiga kura
katika maeneo mengi "ndio" inatawala :"Yes"ikimaanisha "ndio" imeandikwa sehemu nyingi hususani barabarani kwenye kuta za nyumba kwenye kofia na sehemu nyingine ikimaanisha kuwa wanaunga mkono kuwa Scotland iwe huru. "Hapana " inaonekana kwas uchache ususani madirishani na milangoni Raia wanao unga mkono wa Scotland wamekuwa wakifanya kampeni na kuimiza raia wakipiga kura ya "ndio"kwa uhuru wa Scotland.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment