chuo cha mwalimu Nyerere chatia aibu

Baada  ya  kuibuka  taarifa  kuwa  wale  vijana  waliofanya  fujo   wakiongozwa  na   Paul  Makonda kijana  hasiyejitambua  kuwa  baadhi  yao  walitoka  katika  chuo  cha  Mwalimu  nyerere  kilicho  kigamboni  mtandao  huu  kwa  siku  ya leo  ulifanya  uchunguzi  na  kubaini  ni  kweli  vijana  hao  walitoka  na  kwenye cho  hicho,  Uchunguzi  wetu  uliwahusisha  vijana  wanaosoma  chuo  hicho  ambao  wamethibitisha  kuwa  walipewa  pesa  kwenda kufanya  fujo  kwenye  mdahalo  ambapo  baadhi  wanafunzi  wanaojitambua  walikataa  kwenda  kufanya  fujo      na  wengine  wasiyojitambua  na kuendekeza  njaa  walikubali kwa  lengo  la  kupata  fedha.
   Tanzaniaclassic  tunasema  ni  upuuzi  mkubwa  sana  kwa  vijana  wasomi ambao  wanategemewa  na  jamii   kutumika  kama  mipira  ya   kondomu   na  wasiasa   uchwara  kwasababu  kitendo  cha  wasomi  hao  kufanya  vitendo  vya  kihuni  ni  ujinga  uliyopitaliza, Pia ni  aibu  kijana  msomi  kutumika    wanasiasa  kwa  kisa   cha  kupewa pesa    ambazo  haziwezi  kuwafikisha  popote  zaidi  ya  kuishia  kuinywea    viroba  na  pombe    tunasema  haya   kwa  ujiamini  kwasabubu  mfano  wa    kitendo  cha  jana  cha  wanafunzi  kutoka  mwalimu  Nyerere  kutumika  na  wanasiasa   kwa  kufanya  videndo  viovu  kama  vile    vinatia  aibu  kwa  wasomi  wa  Tanzania  ambao  wanategemewa  kuleta  mabadiliko  katika   jamii  ya  kitanzania,
   Pili  kitendo  wanafunzi  wa chuo  cha  Mwalimu  Nyerere   kutumika  vibaya  na  wanasiasa  ni kitendo  cha  kulaniwa  kwasababu  wanatumia jina la  baba  wa    Taifa  vibaya   kwasabubu baba  wa  Taifa  hakufanya  uhuni  kama  huo ambao  unafanywa  na  wanafunzi    kwa  maelekezo  ya  wanasiasa   uchwara  wasiyojitambua,  hapa   Tanzania
   Mwisho  ni  vizuri  wanafunzi  wanaosoma  chuo  cha  mwalimu    Nyerere  kuacha   kufanya upuuzi  wakutumiwa  na wanasiasa  uchwara  kwasabau  wanadhalilisha  elimu   yao,

   
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment