Miss
Tanzania Sitti Mtemvu amejivua taji la Miss Tanzania aliloshinda mwaka
huu mjini Dar es Salaam baada ya kuzongwa na mashabiki kuhusu umri waAkizungumza
na BBC Mkurugenzi wa Lino International Agency Hashim Lundenga waandaji
wa shindano la Miss Tanzania amesema kuwa mrembo huyo amejivua mwenyewe
taji hilo kwa kuandika barua bila kushinikizwa na mtu yeyote.
Tangu
atangazwe mshindi kumekua na malalamiko kutoka kwa baadhi ya watu
wakimtuhumu kuwa alidangaya umri wake ili atimize vigezo vya kushiriki
shindano hilo.
Pia Sitti alituhumiwa kuwa ana mtoto jambo ambalo
pamoja na shutuma zingine alikanusha mbele ya waandishi wa habari mjini
Dar es Salaam.
Kamati hiyo imemtangaza Lilian Kamazima ambaye ni mshindi namba mbili wa Miss Tanzania
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment