Marekani imesema kuwa bado
inatafakari matokeo ya shambulio la anga lililofanyika Kusini mwa Somali
kumlenga kiongozi mwandamizi wa kundi la wapiganaji wa Al Shabab.
Msemaji wa idara ya usalama ya
Marekani amesema shambulio la anga katika karibu na eneo la Saakow
halikuwa na dalili zozote za kuleta madhara kwa raia na hakuna raia
waliodhurika.
Shambulio hilo limetekelezwa siku chache tangu mtu
anayedhaniwa kuwa ni mfuasi wa kundi hilo kushambulia kambi ya majeshi
ya Somalia na Jeshi la Muungano wa Afrika.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment