Raha ya kukamua maziwa Ng'ombe asiwe mkorofi








 

Neno La Wakati Mwema

Ndugu zangu hivi karibuni nilikuwa kijijini kwetu Msisi, Wilaya ya Iramba, Mkoani Singida...Niliomba nipewe nafasi ya kukamua maziwa kwa ajili ya chai na mengine ya kuuza, Hakika nilionyesha ufanisi na uwezo wangu katika kazi za ufugaji na kilimo, Maziwa yalipatikana ya kutosha kama vile ambavyo wenyeji hukamua.

Naam, Raha ya kukamua maziwa Ng'ombe asiwe mkorofi, kama angekuwa mkorofi ningeambulia mateko bila maziwa kupatikana...Pichani mjomba amembeba Mwanangu Leah Mathias akishuhudia ninavyokamua.

Ni Neno La Wakati Mwema
Mathias Canal
0756413465
Iringa
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment