JICHOPEMBUZI Man United imekubali kubadili jezi kwa kiasi hiki cha Pesa
August 1, 2015 COMMENTS
Baada ya miaka 13 ya matumizi ya jezi za Nike kwa klabu ya Manchester United sasa imeamua kuzindua jezi mpya zitakazotumika katika msimu wa 2015/2016.
Man United watatumia jezi zitakazokuwa zinatengenezwa na kampuni ya vifaa vya michezo ya ADIDAS kutoka Ujerumani. Man United wamesaini mkataba wa miaka 10 na kampuni ya vifaa vya michezo ya ADIDAS, mkataba wenye thamani ya pound milioni 750 na sasa wataanza kutumia jezi za kampuni hiyo.
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa
0 maoni:
Post a Comment