Mkutano wa kutathmini huduma bora za Wazee Zanzibar


 Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akifungua Mkutano wa kutathmini huduma za Wazee Zanzibar ulioandaliwa na Wizara yake kwa ufadhili wa Shirika la HelpAge International katika Hoteli ya Ocean View Kilimani Mjini Zanzibar.
 Naibu Mkurugenzi wa Shirika la HelpAge Internalinal  Smart Daniel akizungumza na washiriki wa Mkutano wa kutathmini huduma za Wazee Zanzibar katika Hoteli ya Ocean View Kilmani (kushoto) Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo na kushoto Mwenyekiti wa Mkutano huo  Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Haji Makungu Mgongo. PICHA NA RAMADHANI ALI / MAELEZO ZANZIBAR.

 Washiriki wa Mkutano  huo wakiwa katika kazi za vikundi wakijadiliana juu ya mikakati itakayofanikisha kuandaliwa mazingira bora ya maisha ya Wazee Zanzibar.


 Daktari Dhamana  Wilaya ya Wete akiwasilisha kazi za vikundi katika mkutano wa kutathmini huduma za Wazee Zanzibar uliofanyika Hoteli ya Ocean View Kilimani Mjini Zanzibar.

 Katibu Mkuu Wizara ya Afya Saleh Muhammed Jidawi akifunga mkutano wa kutathmini huduma za Wazee Zanzibar uliofanyika katika Hoteli ya Ocean View Kilimani Mjini Zanzibar.

Picha ya pamoja ya wajumbe wa Mkutano huo uliohudhuriwa na Wakuu wa Wilaya za Zanzibar, Madaktari dhamana wa Hospitali kuu za Wilaya, Jumuia ya Wazee  na Taasisi za kiraia baadhi ya maofisa wa Wizara ya Afya.

from Blogger http://ift.tt/1NvOzKY
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment