KAMPUNI ZATEGEA KUWEKEZA PESA

IMEDAIWA na mfuko wa fidia kwa wafanyakazi WCF kuwa kwa mkoa wa njombe taasisi chache ndizo zinazo changia michango kwaajili ya wafanyakazi wake ambapo pamoja na kuwapo kwa kampuni nyiningi ni chache pekee zinatoa michango yake.

Afisa kazi mkoa wa Njombe anasema, Arnord Peter kuwa taasisi zote zilizo ajili wafanyakazi hazijipangii kulipa fedha hizo pali ni lazima kwa matakwa ya sheria iliyo anzisha mfuko huo mwaka 2015 ya usalama mahara pa kazi.

Peter anatoa kauli hiyo ya ukaidi kwa baadhi ya taasisi mbele ya mkuu wa mkoa na kusema kampuni ambazo zimesha anza kupeleka fedha za fidi hazifiki 20 kwa mkoa mzima huku.

Aidha alima kuwa wameanza kufuatilia agizo la mkuu wa mkoa wa Njombe Dr Rehema Nchimbi Alilolitoa wakati wa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Mei mosi ya kila hoteli na baa kuwapa wafanyakazi wake Mikataba na kuwa bado akizo hilo halijaanza kutekelezwa kwa baadhi ya sehemu hizo.

“Idara ya kazi mkoa wa njombe pamoja na kuhakikisha fedha za fidia zinatolewa kwa wakati, na taasisi zote zinatoa fedha hizo tumekuwa tukifuatilia lile agizo lako mkuu wa moa la kuhakikisha kila baa na hoteli wanakuw ana mikataba ya wafanyakazi lakini bado ni shida,” alisema Peter.

Mkuu wa mkoa wa njombe alisema kuwa Njombe inawezeka kuwa na wafanyakazi wenye mikataba na kuwa haiwezekani kila kitu Njombe ikawa haiwezekani.

Alisema kuwa anajia wamiliki wa Makampuni mkoa wa njombe wapo tayari na kutaka mfuko huo kuhakikisha kuwa itawafikia wote kutoa elimu kabla ya sheria kuanza kuchukua mkono wake.

kuhusu agizo lake alisema kuwa kwa kuwa Mkoa huo unaelekea katika uchumi wa juu wamiliki wa hoteli wahakikishe wanakuw ana mikataba na wafanya kazi wao ili kuboresha huduma na watu wakitaka huduma waipate kwa uhakika kuliko kukiw ana wafanyakazi wenye wasio na mikataba na wakatoa huduma isiyo bora.

from Blogger http://ift.tt/2daGIod
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment