Njocoba yamwangukia mkuu wa Wilaya,Njombe

HALMASHAURI Mkoaoni Njombe zimeombwa kuhakikisha kuwa zina nunua hisa katika benki ya mkoani njombe ili kuiinua benki hiyo na kiikwamua na ukana na kufungua akauti mbalimbali na kuzitumia kwa malipo yake mbalimbali.

Ombi hilo linatolewa na Mwenye kiti wa bodi Edward Ndemu kwa mkuu wa wilaya ya njombe Ruth Msafiri kuzishawishi halmashauri zake na za wilaya za jirani kufungua akaunti katika benki ya Wananchi Njombe Njocoba ikiwa ni pamoja na kununua hisa.

Mdemu anatoa ombi hilo katika mkutano wa mwaka wa wanahisa wa Benki hiyo ili kuikwamua benki hiyo na ukata kwa kuwa na wanahisa wacheche huku wanahisa hao wakiwa na tabia ya kuto weka fedha katika akaunti zao.

Alisema kuwa halmashauri za mkoa wa njombe kama zikinunua hisa za kutosha itasaidia kuwaongezea fedha za mzunguko na kutoa huduma za mikopo kwa wananchi wa halmashauri hizo za mkoa wa Njombe.

Hata hivyo pamoja na kuwa na wanahisa wa benki hiyo Mdemu alisema kuwa watu walio kuw ana Hisa pamoja na Akaunti katika benki hiyo wamekuwa ni wavivu wa kuweka fedha katika akauti zao na kuwa wale wenye hisa hawanongezi hisa.

Mkuu wa wilaya ya njombe Msafiri alisema kuwa atakacho kifanya ni kufanya ushawishi kwa halmashauri zake tatu kununua hisa kwa kuwa benki hiyo ina hudumia halmashauri zao na kuwa wilaya za jirani anafanya ushawishi kwa wakuu wa wilaya hizo kuziomba halmashauri zao kufungua akaunti na kuwekeza hisa.
Pamoja na kuzishawishi halmashauri kuwekeza katika benki ya mkoani kwao Mkuu huyo anawashawishi wananchi kuhakikisha kuwa wanatumia beki kuhifadhi fedha zao katika beki ya mkoani kwao.

Ruth aliwataka wananchi kutumia minu ya kununua kibubu beki kwaajili ya hujiwekea akiba kana wanaona uvivu kwenda benki vibubu hivyo vin atolewa na Benki hiyo huku funguo yake ikibakia Benki.

Wadau mbalimbali wameiomba benki hiyo kuuza hisa zake katika soko la Hisa ili kupata wateja wengi na kuwa na bei inayo uzika kwa kila mtu tufauti na ilivyo sasa ambapo hisa moja huuzwa 5,000 na watu wa hali ya chini kuwa na woga wa kununua hisa 

from Blogger http://ift.tt/2dDRF4j
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment