WATOTO NJOMBE WAMEZESHWA DAWA ZA KINGA


WAZAZI mkoani Njombe wamehimizwa kuadaa chakula kwa usafi ili kuwaondoa watoto wao katika hatari ya kupata Magonjwa ya kuhara na minyoo ya tumbu.

Kauli hiyo inatolewa na mkuu wa mkoa wa njombe Dr Rehema Nchimbi wakati mkoa wake ukiingia katika siku nne za kuzeza vidonge za kukinga watoto weny miaka kuanzia mitano hadi 15 na magonjwa yasiyo pewa kipaumbele.

Ni uzinduzi wa kumezeshwa dawa kwa watoto ambapo suala la usafi lina himizwa na Mkuu wa mkoa wa njombe Dr Nchimbi na kuzitaka halmashauri na wazazi kuwa wasafi ili kuwakinga watoto na magonjwa ya minyoo.

Wanafunzi wanapongeza juhudi za serikali kujari afya zao, ambapo wanafunzi hao wameanza kumeza dawa za kujikinga.

Hata hivyo wataalamu na mkuu wa shule ya Lunguya panapo fanyika Uzinduzi wanatoa ushauri na kueleza hali ya Ugungwa huo kwa mkoa wa Njombe. 

from Blogger http://ift.tt/2cTb8fC
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment