DC AWATIMUA VIGOGO SACOSS


MKUU wa wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe Andrea Tsere, amewaweka ndani Meneja na Mwenyekiti wa bodi ya Saccos ya Mlangali na kuivunja Bodi yake na kutoa siku 30 kwa Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa Upotevu wa milioni 114 pamoja na wanachama wake kulipa deni la Marehemu Meneja wa awali aliye fariki kwa kujinyonga mwaka 2012.


Maamuzi hayo ya Mkuu wa wilaya Ludewa yanakuja baada ya kuwepo kwa sinto fahamu ya Matumizi ya fedha za wanachama na fedha zingine kulipa hasara iliyo sababishwa na marehemu.

Mwenyekiti wa Mda wa sacoss hiyo Nasanael Mgani anasema kuwa katiba ya sakosi hiyo ilikiukwa na Uongozi wa Marehemu na wa sasa kwa kuwa katiba ya chama hicho haikutumika kabisa.

Wanachama wa chama hicho wanasema kuwa uamuzi ulio chukuliwa utasaidia kurejeshwa kwa fedha zao ambazo alizitumia marehemu.

from Blogger http://ift.tt/2dw5762
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment