Kocha wa timu ya Tottenham Hospurs ya Uingereza, ameonekana kuendelea kuwa na msimamo wa kuwashawishi wachezaji wake kuendelea kuichezea timu hiyo baada ya kumuongezea mkataba mpya Jan Vertonghen.
Vertonghen ambaye anacheza kwenye nafasi ya beki ameongeza mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kuichezea timu hiyo ambao utafikia mwisho mwaka 2019.
Mchezaji huyo alisajiliwa na timu hiyo akitokea Ajax ya Uholanzi mwaka 2012.
0 maoni:
Post a Comment