Darassa
Akipiga
story kupitia eNewz Darasa amesema Diamond ni msanii ambaye amehangaika
sana kutoka kimuziki hivyo mafanikio yake na uwezo wake wa muziki
alitakiwa ajiite jina lingine kwa kuwa Daimondi ni zaidi ya Simba kwa
sasa kwani ni zaidi ya mnyama Simba.
"Ningekuwa Diamond nisingejiita simba, ninavyomuona Diamond ni zaidi ya Simba, kuna watu wanaua simba, simba, kajichanganya, kaingia kijijini kapotea, Diamond kwa kitu anachofanya ni zaidi ya simba, angeweza kujiita jina lingine lolote kubwa, kafanya vitu vingi sana". Amesema Darassa
"Kwa upande wangu nimesema siyo simba, siyo chui siyo mamba, mamba ni mnyama anayetisha sana kwenye maji, simba anatisha sana porini, chui ni hunter mzuri, so katika vitu vyote ambavyo viko humo, mimi humo kote simo, ninacho kitu ambacho kinaweza kunifanya nikwambie aaaaah". Amemalizia Darassa
"Ningekuwa Diamond nisingejiita simba, ninavyomuona Diamond ni zaidi ya Simba, kuna watu wanaua simba, simba, kajichanganya, kaingia kijijini kapotea, Diamond kwa kitu anachofanya ni zaidi ya simba, angeweza kujiita jina lingine lolote kubwa, kafanya vitu vingi sana". Amesema Darassa
Diamond
Darassa amemalizia kwa kusema wanyama wote ambao amewataja katika
wimbo wake hawaogopi kwa kuwa ana kitu kikubwa ndani yake na yeye ni
mwanaume na anajiamini kwa muziki wake anaofanya."Kwa upande wangu nimesema siyo simba, siyo chui siyo mamba, mamba ni mnyama anayetisha sana kwenye maji, simba anatisha sana porini, chui ni hunter mzuri, so katika vitu vyote ambavyo viko humo, mimi humo kote simo, ninacho kitu ambacho kinaweza kunifanya nikwambie aaaaah". Amemalizia Darassa
0 maoni:
Post a Comment