WANANCHI WA KAWE WAZUIA MTAMBO WA MWEKEZAJI KUFANYA KAZI YA USAFI WA MTO MBEZI.






Wananchi wa kawe wamezuia mtambo wa mkandarasi kunya kazi ya usafi wa mto mbezi kwa zaidi ya saa 20 na kumwondoa site kwa kile kwa kile walichokilezea kuwa ni huaribifu wa mazingira kunyume na agizo la serikali la kuzuia uchimbaji michanga katika jiji la dar es salaam.

JICHOPEMBUZI limebaini hilo kupitia ITV ambapo wanchi hao wameeleza kuwa eneo hilo limesha wai kuchimbwa na kualibu kingo za mto huo na kusababisha nyumba 15 kuanguka na kueleza mchakato wa kumleta mkandarasi huyo kutawashilikisha wananchi kiasi cha kujilidhisha kinachofanyika kwa huifadhi wa mazingira na usalama wa nyumba zao
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment