JINSI MBOWE.LOWASSA.RIDHIWANI KIKWETE,MGEJA NA NAPE WALIVYOKUTANA UWANJA WA TAIFA MECHI YA SIMBA vs YANGA

Mechi ya Simba vs Yanga leo imemalizika kwa ushindi wa Simba kupata goli 2-1 lakini pia imekutanisha baadhi ya viongozi kutoka vyama viwili vya kisiasa Tanzania ambavyo ni CHADEMA na CCM.
Kwenye mechi ya leo aliyekuwa Mgombea Urais 2015 kupitia CHADEMA Edward Lowassa, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe,Khamis Mgeja walikuwa wamekaa eneo moja kutazama mpira na Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete na Waziri wa habari, utamaduni sanaa na michezo Nape Nnauye na walionekana wakisalimiana.
Wakisalimiana Jamal Malinzi Rais wa TFF, Edward Lowassa na Nape Nnauye
Edward Lowassa akisalimiana na baadhi ya Mashabiki
Mwenyekiti Freeman Mbowe akizungumza na Edward Lowassa

from Blogger http://ift.tt/2laNoow
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment