MWANASHERIA ALBERT MSANDO ASHAMBULIWA KISA MKUTETEA WEMA SEPETU MAHAKAMANI

Mwanasheria maarufu nchi Tanzania, Albert Msando ameelezwa kusikitishwa kwake na jinsi watu mbalimbali walivyomshambulia kisa amemtetea Wema Sepetu Mahakamani.
Msando ndiye mwanasheria aliyemtetea Wema baada ya kutuhumiwa kukutwa na msokoto mmoja wa bangi na karatasi za kuvutia bangi nyumbani kwake.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Msando alisema kuwa Wema ni rafiki yake mkubwa na kuwa anachofanya ni kuhakikisha anakuwa salama na kuwa suala kama ni kweli alikuwa au kutokukutwa na bangi, mahakama ndio itaamua.
Huu hapa ni ujumbe aliouweka kwenye ukurasa wake wa Instagram akiambatanisha na picha yake na Wema.
“Have you ever had a sister who is the opposite of you? A friend who you can not explain why he or she is your friend? I have. Having a one-on-one with @wemasepetu. Kuna watu wameongea walichoongea. Wamekasirika kumsaidia Wema. Ila ukweli unabaki kwamba @wemasepetu has her following. I must say yeye kama ilivyo mimi na wewe sio mkamilifu. She has her share of mistakes. And failures.”
Aliendelea kusema kuwa “But she is not a bad person. She has a special heart. Her charge is “to be found in possession of small amount of narcotics drugs commonly known as bhangi. 1.85gms” nothing serious. Kweli au si kweli ni kazi ya Mahakama. Kwa hiyo kwa wale ambao wameamua kupigana vita kwa kuniattack I am leaving it to them. For me all I have to do is, guide her to being better and realising her full potential. Thats not law. Thats friendship. #PresumptionOfInnocence#EqualityBeforeTheLaw #SayNoToDrugs#TheDon #WemaWaNyumbani#Now#OneToOne #Laughing #SheIsOkay#SheIsfine #Lessons

from Blogger http://ift.tt/2kwZit0
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment