PICHA 3: DIAMOND PLATNUMZ AIWEKA WAZI SURA YA MTOTO WAKE

Mtoto wa pili wa Diamond Platnumz na Zari, Nillan leo anafanyiwa shererehe ya Maulid kwa kutimiza siku 40 tangu alipozaliwa sherehe ambayo inafanyikia nyumbani kwa mwanamuziki huyo, Madale Tegeta.
Tangu kuzaliwa kwake sura ya mtoto huyo haikuwahi kuwekwa hadharani hadi leo ambapo wazazi wake ndio wamiweka hadharani. Watu wengi hasa mashabiki wa mwanamuziki huyo walikuwa wakisubiria kwa hamu kuiona sura ya mtoto huyo ili kujua amefanana na baba au mama.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Diamond Platnumz ameweka picha ya mwanae huyo na kuandika maneno haya “Das my Handsome @princenillan
Sherehe hiyo inatarajiwa kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwamo pia wasanii, wanasiasa pamoja na wafanyabiashara.
Hapa chini ni picha zaidi za mtoto huyo.

from Blogger http://ift.tt/2lC2Knd
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment