Ridhiwani Kikwete Aulima ‘MEMO’ Uongozi wa Barcelona

Mbunge wa Chalinze ambaye pia ni miongoni mwa wadau wakubwa wa soka nchini Tanzania, Ridhiwani Kikwete ameutaka uongozi wa klabu ya FC Barcelona ya nchini Hispania kurudi kwenye falsafa yake ya uchezaji, na kuachana na mtindo unaotumiwa hivi sasa.
Kikwete ametoa taarifa hiyo ya kuwasiliana na uongozi wa Barcelona jana akiwa kwenye kipindi cha East Africa Breakfast cha EA Radio, ambapo amesema kuwa yeye kama mwanachama wa klabu hiyo ameumizwa sana na matokeo mabaya iliyopata klabu hiyo juzi dhidi ya PSG, akidai kuwa sababu kubwa ya matokeo hayo ni kocha wa Barcelona Luis Enrique kuachana na falsafa ya ‘tic-tac’.
Amesema mara baada ya kushuhudia timu hiyo ikichapwa mabao 4-0 na PSG katika michuano ya Mabingwa Ulaya, aliamua kuuandikia uongozi wa timu hiyo ujumbe ‘MEMO’ akitoa ushauri wake kwa kuwa yeye ni mwanachana anayetambulika klabuni hapo na si shabiki wa kawaida.
JAMAA ABUNI NDEGE YAFANIKIWA KURUKA TAZAMA HAPA CHINI!!!

from Blogger http://ift.tt/2kZqeVj
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment