TAZAMA MVUA ITAKAVYO ADIMIKA HAPA CHINI

MAMLAKA ya hali ya hewa Nchini mkoa wa Njombe imesema kuwa mvua zinazo enedelea kwa kiwango cha Chini ya wastani mpaka wastani kwa baadhi ya maeneo hapa nchini kwa mkoa wa Njombe Mvua zinatarajia kuisha mwezi Aprili wiki ya  nne.

 Kauli hiyo ya kiutabili imetolewa na meneja wa hali ya hewa mkoa wa Njombe Michael Abushiri wakati akizungumza na wanafauzi wa shule ya sekonda;li Njombe Njoss ambao wametembelea kito cha utafiti wa kilimo na hali ya hewa cha Igeri Mkoani Njombe.
Akitoa somo kwa wanafunzi hawa Abushiri anasema kuwa wakulima wanao endelea na kuandaa mashamba wahakikishe kuwa wanapanda mazao ambayo yanakomaa haraka kabla ya mwezi Apriti Mwishoni ambapo mvua zitaisha kwa mujibu wa tabiri.
Wanafunzi baada ya kupewa funzo juu ya hali ya hewa wanaambiwa vitu vinavyo fanya hali ya wewa kuwa ilivyo sasa tofauti na miaka ya nyuma.
Wakiwa wameifa kwa somo wanasema kuwa ni vyema watu wanao husika na kilimo wahakikishe kuwa wanafuatilia taarifa za hali ya hewa.

Je kunaumuhimu wa kufuatilia hali ya hewa na nini kifanyeke kuhakikisha hali ya hewa haipotezi ubora wake wa awali? Mwalimu anaeleza huku abushiri naye akiongeza.

TAZAMA MVUA ITAKAVYO ADIMIKA HAPA CHINI………………… 

from Blogger http://ift.tt/2kBjwF5
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment