Juzi katika siku ya wapendanao, picha zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii Tanzania zinazomuonesha mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi (OK) akiwa anaambatana na mdada mmoja mzuri aliyekuwa ndani ya shela huku bwana Joti akiwa ndani ya suti moja matata sana.
Baada ya picha hizo kusaambaa, mashabiki wengi ya Joti walichangia wakimpa pongezi zao za dhati kwa kufikia uamuzi huo, hasa katika siku hiyo maalum ya wapendanao, Valentine’s Day.
Tazama hapa video nzima ya tukio hilo:
Halichachi http://pic.twitter.com/i8ATVFbvRw— JOTI (@jotitanzania) February 15, 2017
from Blogger http://ift.tt/2lnjbGn
via IFTTT
0 maoni:
Post a Comment