VIDEO KITUKO: UKIMFUMANIA MPENZI WAKO NA KIBAKA AKIKWAPUA SIMU UTAANZA NA KIPI?

Ingekuwa wewe ndio mkali wao ungefanyaje? Baada ya kuagana na mpenzi wako kibaka anakwapua simu yako, ile unamkimbiza kibaka unakuta mpenzi wako amebambiwa kwenye kona.
Je! Utaachana na kibaka umalizane na mpenzi wako au utamkimbiza kibaka kwanza? Tuandikie maoni yako.

from Blogger http://ift.tt/2lWe1Ow
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment