Vita dhidi ya Dawa za Kulevya vado inaendelea kushika kasi katika maeneo mbalimbali ya nchini ambapo hadi sasa watu wengi tayari wameshakamatwa.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Simon Sirro alisema jana kuwa hadi sasa wanawashikilia watu 349 kwa tuhuma za kujihusisha na dawa za kulevya.
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Kamishna wa Operesheni wa Mamlaka ya Kupambana na Kuzuia Dawa za Kulevya, Mihayo Msikhela ametoaa ripoti ya operesheni iliyofanyika kwa siku nne Tanzania kote na kusema kuwa wamefanikiwa kuwakamata watumishi wawili wa TRA wanaotuhumiwa kupitisha kemikali badhirifu inayotumika kutengeneza dawa za kulevya.
Kuhusu kuwataja majina, Kamishna Mihayo amesema kuwa si sahihi kuwataja kwa sasa.
from Blogger http://ift.tt/2lq1ruo
via IFTTT
0 maoni:
Post a Comment