WEMA SEPETU AMRUSHIA DONGO RC PAUL MAKONDA

Mrembo Wema Sepetu ameandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa Instagram ambao unaaminika kuwa ni dongo amelirusha kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Wema Sepetu aliandika ujumbe mrefu baada ya Manji kutoka mahabusu lakini sehemu ya ujumbe huo ulimhusu Makonda ambapo aliandika Mule ndan sio sehemu nzuri kabisa jamani… Na anaekupeleka kule hawezi kua rafiki hata kidogo… Tena wa kukaa nae mbali kabisa…”
Sehemu ambapo Wema Sepetu alikuwa akizungumzia ni mahabusu ambapo alilala kwa muda baada ya kutajwa kwenye orodha ya watuhumiwa wa dawa za kulevya na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Hapa chini ndio ujumbe wa wote wa Wema Sepetu,
“Alhamdulillah… I said it once and I’ll say it again… What doesnt Kill you only makes you Stronger…. On behalf of Young africans niseme tu Asante Mungu kwa kututolea Manji wetu ndani..Mule ndan sio sehemu nzuri kabisa jamani… Na anaekupeleka kule hawezi kua rafiki hata kidogo… Tena wa kukaa nae mbali kabisa… Inshallah all will be well… Nimefurahi kwakweli… Kama kawaida sitaki maoni… And naona hii ndo iwe mfumo mpya… Turn off comments basi… All in all, Welcome Back! (ni mtazamo tu) #WemaApp only on playstore…#NaipendaYangaShabikiWaDamu.”

from Blogger http://ift.tt/2kzqjjU
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment