Kampuni ya Ndauka Advert ya malkia wa filamu Rose Ndauka
ikishirikiana na African Swahili TV Machi 9,10 itafanya usahili katika
ukumbi wa Kijiji cha Makumbusho kwajili ya kuwapata wasanii ambao
watashiriki kwenye tamthilia mpya itwaayo ‘How Cheat?’.

Muigizaji huyo amewataka wasanii wakubwa kwa wadogo kuchangamkia fursa hiyo ili kujipatia ajira pamoja na kukuza vipaji vyao.
“Kipaji chako ndio mtaji wako, kipaji chako ndio ajira yako,” alisema Rose.
Muigizaji huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja amekaa kimya kwa muda mrefu bila kuachia filamu.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment