Watanzania wametakiwa kujenga tabia
ya kupunguza gharama zamatibabu kwa kutibiwa katika hostipali zilizopo
hapanchini badala ya kwenda kutibiwa nje ya nchi
Akizungumza katika kongamano la
kitaifa la madactari bingwa wa mifupa na jeraha mkurugenzi mtendaji wa
hospili ya mnazi moja alli salum alli
Amesema watanzania wanatumia gharama
kubwa kwenda kutibiwa nchi za nje wakati hapa nchini zipo hospitali zenye uwezo
wakutibu kama zilivyo hospila za nje
Madactari bingwa wa mifupa na
majeraha kutoka ndani na nje ya nchi wamekutanana katika hospitar ya tasakta
iliopo mjini unguja ili kubadilisha uzoefu wa namna ya kufanya upasuaji na kuwa
saidia watanzania wengi ambao wamekuwa
wakitumia gharama kubwa kufuata matibabu nje ya nchi
Mkurugezi mtendaji wa tulki group
inayomiliwa na hispitali hoyo teofilki sale tilki amesema lengo lakufanya
kongamano hilo ni kuwawezesha madactari wa mifupa kupata uzoefu kutoka kwa
madactari wa nje ya nchi
Doctor alli salimu alli ni
mkurugenzi mtendaji wa hospitali ya mnazimoja iliyopo mjini unguja amesema zipo
baadhi ya hospitali hapa nchini zenye
uwezo wa kutibu magongwa mablimbali nakutoa wito kwawatanzania wote kutumia
fursa hiyo ilikupunguza gharamaa
Kwaupande wa dactari wa upasuaji
kutoka taasisi ya mifupa moi dr nungu samweli amesema uwepo wa hospilai ya
tasakta inayo tibu magonjwa ya moyo imepunguza idadi kubwa kubwa ya wagonjwa wanaokwenda
kutibiwa katika hospitali ya taifa MUHIMBILI jijin dar es salaam
Dr bingwa waupasuaji kutuka nchini
kanada sandro gomali amesema huduma ya upasuaji nchi Tanzania unafanywa kwa bei
na fuu na kuhaidi kuwatibu kuwatibu wagonjwa wake nchini Tanzania ikiwa pamoja
na kutangaza utalii kupitia sekta ya AFYA
0 maoni:
Post a Comment