Documentary ya Chris Brown ‘Welcome To My Life’ kuachiwa mwezi Juni





Loading...
Baada ya kusubiriwa kwa kipindi kirefu ujio wa documentary ya Chris Brown, imetajwa kutoka mwezi Juni mwaka huu.

Muimbaji huyo amethibitisha hilo kupitiaa mtandao wa Instagram, kwa kuweka video ya trailer ya documentary hiyo na kuandika, “In theaters  June.”
Documentary hiyo itakayoitwa ‘Welcome To My Life’ itakuwa ikizungumzia maisha ya muimbaji huyo aliyowahi kupitia, ikiwemo mahusiano yake na aliyewahi kuwa mpenzi wake Rihanna, yaliyomsababishia kuchukiwa na mashabiki baada ya kumshushia kipigo kizito.
Pia kwenye makala hiyo itakayowaonyesha mastaa waliowahi kufanya kazi na Chris akiwemo Jennifer Lopez, Usher, Mike Tyson, Jamie Fox na Rita Ora.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment